Swahili Proverbs

Baada ya dhiki, faraja
After hardship comes relief

Mwenda mbiyo hujikwaa dole
A person in too much hurry stubs his toe

Kila ndege huruka kwa bawa lake
Every birds flies with his own wings

Shoka lisilo mpini halichanji kuni
An axe without a handle doesn’t split firewood

Mficha uchi hazai
One who hides his private parts will never have a child

Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu
He who was not taught by his mother will be taught by the world

Akili nyingi huondoa maarifa
Too much thinking (great wit) drives away wisdom

Mpanda ovyo hula ovya
A disorderly person will eat disorderly

Si kila mwenye makucha huwa simba
Not all that have claws are lions

Yote yang’aayo usidhani ni dhahabu
All that glitters do not think that is gold

Maji ya kifuu ni bahari ya chungu
Water in a coconut shell is like an ocean to an ant

Kwenda mbio si kufika
Too run is not necessarily too arrive

Asiye na mengi ana machache
Even he who has not many troubles has a few

Painamapo ndipo painukapo
Where it slopes down is where it slopes up

Usijifanye kuku mweupe
Do not pretend to be a white fowl when you’re only an ordinary chap

Kujikwaa si kuanguka, bali ni kwenda mbele
To stumble is not to fall down but to go forward

Kufa kikondoo, ndiko kufa kiungwana
To die like a sheep is to die like a gentleman

Usiende kukate tikiti kabla hujapata ruhusa ya kusafiri
Don’t buy a ticket before you have been permitted to travel

Kichango, kuchangizana
Everyone should contribute when a collection is made

Subira ni ufunguo wa faraja
Patience is the key to tranquillity

Fuata nyuki, ule asali
Follow bees and you’ll eat honey

Hapana marefu yasiyo na cha
There is no distance that has no end

Comments are closed.

Press | Contact